Karibu JapoHub Trust na asante kwa kutuchagua.

Tunakupa chaguo mbili rahisi za malipo:

A. Kulipa Pesa Zote:
Ukilipa pesa zote, bidhaa yako inaandaliwa siku hiyo hiyo. Kama ni ya dukani tunakuletea haraka, kama ni ya kuagiza nje tunaanza kukuagizia mara moja.

B. Kuweka Akiba:
Unaweza kulipa nusu kama akiba ya kuhifadhi bidhaa. Hii inahusu bidhaa tulizonazo dukani tu.

Unapata masaa 48 ya kumalizia salio. Ukishindwa kumaliza ndani ya masaa hayo, akiba yako haipotei, inabaki kama salio dukani. Unaweza kuitumia ndani ya siku 14 kununua bidhaa nyingine yoyote tuliyonayo.

Kwa bidhaa za kuagiza kutoka nje, tunaomba malipo yote yakamilike ndipo tuanze kukuagizia, hii ni kwa usalama wa oda yako.

Sera ya malipo | Privacy Policy | Refund & Returns | Shipping Policy